Image Image Image Image
Image

Pakua na Sajili

Pakua(Download) app ya Twende kutoka Google Play Store au App Store na kisha Jisajili kwa kuweka namba ya simu, majina yako, email n.k.

Image

Jaza TwendeWallet

Jaza TwendeWallet kwa kuchukua pesa kutoka Tigo Pesa yako. Pesa kwenye TwendeWallet itatumika kulipa nauli mwisho wa safari yako.

Image

Ita usafiri

Sasa unaweza kuita chombo cha usafiri kama gari, bajaj au boda kwa kuweka eneo uliopo na eneo unakoelekea. Dereva atakufuata hapo ulipo.

Chagua app ya Twende

Pata huduma ya usafiri & usafirishaji wa mizigo

Twende inakupa huduma ya usafiri kwani ina madereva makini na salama ambao watakufikisha mahali popote bila wasiwasi. Pia unaweza kumtuma Dereva wa Twende mahali popote kupeleka au kuchukua mzigo wako kwa uhaminifu mkubwa.

Gharama nafuu

Umbali na Muda ni vigezo vya kuhesabu nauli za Twende ili kupata bei nzuri.

Salama & Uhakika

Dereva wa Twende wamehakikiwa na mamlaka ili kutoa huduma iliyo bora.

Huduma kwa Wateja

Twende inatoa huduma kwa Wateja wake kwa masaa 24 kwa siku zote za wiki.

Image Image Image

Abiria wenye furaha

Dereva Makini

Miji inayopatikana

Safari zilizokamilika

Image Image
Huduma zingine

Twende za nyongeza

Kubeba Mizigo

Dereva wa Pikipiki wa Twende wanabeba na kupeleka mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

Kukata Tiketi

App ya Twende imeunganishwa na huduma za kukata tiketi za ndege, basi, treini, vivuko n.k.

Buku Hoteli

Ukiwa na app ya Twende, utaweza kupata huduma ya hoteli iliyo karibu nawe.

Bidhaa

App ya Twende imeunganishwa na maduka mbalimbali kama ya Nguo, ya vifaa vya nyumbani, ya Vipodozi n.k ambapo mteja anaweza fanya manunuzi na kuletewa bidhaa nyumbani.

Image Image Image Image
Lipa kwa simu

Faida za Kutumia TwendeWallet kwenye malipo ya Nauli

Ukiwa na TwendeWallet iliyounganishwa na Tigo Pesa utaweza fanya malipo ya nauli na huduma mbalimbali kwenye app ya Twende. Faida za TwendeWallet

  • Makato kidogo ya Tigo Pesa
  • Utatunza Muda
  • Ni rahisi kutumia
  • Ni Njia salama ya malipo
  • Utapata Kumbukumbu za Malipo
  • Inapatikana muda wote

Jiunge na Twende kama Dereva

Image Image

Our Partners